Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa Watanzania kutumia busara bila kuvunja sheria za nchi.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Afisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Nchimbi alisisitiza kuwa ni muhimu kulinda maslahi ya taifa kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa.
Katika hotuba yake, Makamu wa Rais alieleza kuwa taifa haliwezi kupoteza watu wake wengi kwa sababu ya makosa ya mtu mmoja. Alisisitiza kuwa kila raia ana wajibu wa kutii sheria na kushirikiana na vyombo vya dola ili kuhakikisha usalama na ustawi wa jamii.

Kauli yake imechukuliwa kama kumbusho kwa wananchi na watendaji wa serikali kuwa utii wa sheria ni msingi wa amani na maendeleo.......BONYEZA HAPA USOMA TAARIFA YOTE.
Post a Comment