Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba aliwahi kupigiwa simu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, na kuambiwa "umeapata wazimu?" imezua mjadala mkubwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho na wananchi kwa ujumla.
Kwa mujibu wa Dkt. Nchimbi, tukio hilo lilitokea katika kipindi ambacho kulikuwa na mijadala mikubwa kuhusu masuala ya demokrasia ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Kwa mujibu wa Dkt. Nchimbi, tukio hilo lilitokea katika kipindi ambacho kulikuwa na mijadala mikubwa kuhusu masuala ya demokrasia ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Dkt. Nchimbi amesema siku hiyo alipokea simu kutoka kwa watu wawili waliokuwa na mtazamo tofauti kuhusu msimamo aliokuwa ameuchukua, huku Mzee Wasira akiwa mmoja wa waliomhoji kwa ukali juu ya maamuzi yake..........BONYEZA HAPA USOMA TAARIFA YOTE.
Post a Comment