Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ametoa onyo kali kwa viongozi na wanachama wa chama hicho dhidi ya tabia ya kutoa siri za chama pindi wanapohamia vyama vingine vya siasa. Wasira amesema kuwa uaminifu, nidhamu na kulinda misingi ya chama ni sifa muhimu kwa kiongozi yeyote anayehitaji kuendelea kuaminiwa ndani ya CCM.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama, Wasira alisema CCM haiwezi kuwa na viongozi ambao hawana uwezo wa kutunza siri za chama na badala yake kuzitumia taarifa hizo kwa manufaa ya vyama vingine wanapobadili upande wa kisiasa. Amesisitiza kuwa viongozi wa aina hiyo hawafai kupewa nafasi za uongozi kwani wanaweza kuhatarisha mshikamano na ustawi wa chama hicho tawala.
“Hatuhitaji viongozi wanaokwenda chama kingine kufichua siri za chama. Kiongozi wa aina hiyo hatufai,” alisema Wasira huku akisisitiza umuhimu wa uadilifu kwa viongozi wa chama hicho............BONYEZA HAPA USOMA TAARIFA YOTE.

Post a Comment