Iran Yakubali Kuhamisha Uranium China Huku Mvutano na Marekani Ukiendelea Kuongezeka

Tehran, Mei 2026 — Mvutano wa kidiplomasia kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran umeingia hatua mpya baada ya ripoti kutoka vyombo vya habari vya Saudi Arabia na Shirika la Habari la Ma'an kudai kuwa Tehran imeonyesha utayari wa kusafirisha uranium yake iliyorutubishwa kwenda China, hatua inayotafsiriwa kama mabadiliko makubwa ya msimamo wake wa muda mrefu.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, hatua hiyo inaonekana kuwa sehemu ya mchakato unaotokana na shinikizo la kimataifa, hasa kutoka Marekani, katika juhudi za kudhibiti kiwango cha urutubishaji wa uranium nchini Iran. 

Taarifa hizo zimeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo mpya wa uhusiano kati ya Iran, Marekani na China katika masuala ya nyuklia na usalama wa kikanda. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post