Dar es Salaam, Mei 2026 — Mwanamke Mtanzania anayejulikana kwa jina la Monica amefunguka kuhusu maisha yake ya kufanya kazi nchini Oman, akieleza changamoto, mafanikio na maamuzi magumu aliyolazimika kufanya akiwa mbali na familia yake kwa miaka kadhaa.
Monica amesema aliondoka Tanzania mwaka 2018 akiwa na lengo la kutafuta maisha bora kwa ajili ya familia yake.
Monica amesema aliondoka Tanzania mwaka 2018 akiwa na lengo la kutafuta maisha bora kwa ajili ya familia yake.
Kwa mujibu wake, hali ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya watoto wake vilimshawishi kutafuta ajira nje ya nchi ili kuongeza kipato na kuboresha maisha ya familia yake.
Amesema kuondoka nyumbani kwa muda mrefu hakukuwa jambo rahisi, hasa kutokana na kuwatenga na watoto pamoja na mume wake. SOMA ZAIDI.
Amesema kuondoka nyumbani kwa muda mrefu hakukuwa jambo rahisi, hasa kutokana na kuwatenga na watoto pamoja na mume wake. SOMA ZAIDI.
Post a Comment