Mwanaume Afumaniwa Na Mke Wa Mtu Ambae Nimjamzito.

Tabora kumeshuhudiwa taharuki baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kufumaniwa akiwa na mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mtu.

Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mitandaoni, mwanaume huyo anadaiwa kukutwa katika mazingira yaliyozua mabishano makali kati yake na mume wa mwanamke huyo.

Mashuhuda wa eneo hilo wamedai kuwa badala ya kutumia vurugu mara moja, mwanaume aliyedai kuwa mume alimtembeza mtuhumiwa katika maeneo ya mtaa huku tukio hilo likivuta umati mkubwa wa wananchi waliokuwa wakishuhudia.

Tukio hilo limeibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu migogoro ya ndoa, namna ya kutatua tofauti za kifamilia kwa amani pamoja na umuhimu wa kufuata sheria badala ya kujichukulia hatua mkononi.

Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Jeshi la Polisi kuhusu tukio hilo wala kuthibitisha video inayosambaa mtandaoni mwanaume aliyedai kuwa mume alimtembeza mtuhumiwa katika maeneo ya mtaa huku tukio hilo likivuta umati mkubwa wa watu wakimshangaa.

Post a Comment

Previous Post Next Post