Rais Samia Azua Gumzo Baada ya Kunaswa na Kamera Akiwa na Abdul Urusi Kwenye Tukio Hili

Dar es Salaam, Juni 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii baada ya picha za ziara yake ya kikazi nchini Urusi kusambaa zikimuonesha akiwa katika hafla rasmi pamoja na mwanawe, Abdul Juho..........TAZAMA VIDEO.

Picha hizo zinazoonyesha sehemu ya mapokezi rasmi yaliyofanyika wakati wa ziara hiyo, zimeonesha Rais Samia akipokelewa katika mazingira ya kidiplomasia, huku Abdul Juho akionekana katika eneo la wageni na viongozi waliokuwepo katika tukio hilo. 

Uwepo wake katika msafara huo umeibua mjadala mpana kuhusu nafasi ya wanafamilia katika ziara za kitaifa na kimataifa za viongozi wa juu.

Post a Comment

Previous Post Next Post