Umoja wa Afrika(AU) Wafanya Maamuzi Haya Mazito Dhidi ya Rais Mstaafu wa Tanzania

Dodoma, Mei 2026 — Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea uteuzi wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kuteuliwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Mjumbe Maalum katika ukanda wa Pembe ya Afrika, hatua inayolenga kuimarisha juhudi za amani na utatuzi wa migogoro katika eneo hilo lenye changamoto za kisiasa na kiusalama.

Taarifa hiyo imetangazwa jijini Dodoma na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, wakati akiwasilisha bajeti ya wizara bungeni. 

Amesema uteuzi huo ni ishara ya kuendelea kuaminiwa kwa Tanzania katika masuala ya diplomasia ya Afrika.

Post a Comment

Previous Post Next Post