Yanga inaendelea kufuatilia mchakato wa kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao huku taarifa zikieleza kuwa klabu hiyo imeanza mipango ya kumrejesha mshambuliaji wake wa zamani Obey Chirwa Chirwa ambaye kwa sasa anaongoza orodha ya wafungaji bora wa Ligi ya Championship msimu wa 2025/26.
Obey Chirwa Chirwa ameendelea kuwa mchezaji mwenye kiwango cha juu katika ligi hiyo baada ya kufikisha mabao 17 kufuatia kufunga bao moja katika mchezo uliochezwa dhidi ya KenGold.
Obey Chirwa Chirwa ameendelea kuwa mchezaji mwenye kiwango cha juu katika ligi hiyo baada ya kufikisha mabao 17 kufuatia kufunga bao moja katika mchezo uliochezwa dhidi ya KenGold.
Takwimu hizo zinamuweka katika nafasi ya kwanza ya ufungaji bora wa Championship akiwa mbele ya washindani wake wa karibu.
Katika orodha ya wafungaji bora, Chirwa anaongoza akiwa na mabao 17, akifuatiwa na Maulid Shaban mwenye mabao 14, kisha Radhani Kalanje mwenye mabao 13 na Abdereheman Musa mwenye mabao 12.
Ushindani huo wa ufungaji umeendelea kuwa mkubwa huku kila mchezaji akipambana kuongeza idadi ya mabao kuelekea mwisho wa msimu.
Post a Comment