Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
DAR ES SALAAM - Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetoa shukrani zake za dhati kwa Watanzania, wanachama, wapenzi na marafiki wa chama hicho kwa mwitikio mkubwa wanaoendelea kuonesha katika Marathon ya kuchangia fedha iliyozinduliwa hivi karibuni.
Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, CHADEMA imesema hadi jioni ya leo jumla ya michango iliyopokelewa imefikia TSh. Milioni 27.3. Kiasi hicho kimeelezwa kuwa ni hatua muhimu kuelekea kufikia lengo kuu la kukusanya TSh. Milioni 334ambazo zitatumika kufanikisha Baraza Kuu la Umma la chama hicho litakalofanyika tarehe 15 Septemba, 2026.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment