Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Kwa mujibu wa taarifa zinazoendelea kuthibitishwa na vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, Iran imeanzisha mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani yakilenga vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyopo nchini Bahrain na pia baadhi ya maeneo ya kijeshi nchini Kuwait.

Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Marekani kutekeleza mashambulizi mapya dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya Iran, hali inayoonyesha kuendelea kuongezeka kwa mvutano kati ya mataifa hayo mawili.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment