Iran Yaonya Marekani: Sera ya Nyuklia Kubadilika Ikiwa Mashambulizi Yataendelea

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mvutano kati ya Iran na Marekani umeingia katika hatua mpya baada ya msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge la Iran kutangaza hadharani kuwa shambulizi lolote jipya kutoka Washington litakabiliwa kwa mabadiliko makubwa katika sera ya nyuklia ya Tehran.

Kauli hiyo, iliyotolewa kupitia Shirika la Habari la Fars, imeibua taharuki kubwa na kuashiria uwezekano wa kuongezeka kwa hatari ya mzozo wa kijeshi na kiusalama katika Mashariki ya Kati.

Msemaji huyo alisisitiza kuwa Iran haitakaa kimya iwapo Marekani itaendeleza mashambulizi ya kijeshi, na badala yake itachukua hatua za kimkakati zinazoweza kubadilisha kabisa mwelekeo wa sera yake ya nyuklia.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post