Recho Dangwa Aomba Radhi Baada ya Kauli Zake Mitandaoni, Atoa Msimamo Mpya Kuhusu Amani Nchini

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Katika tukio lililozua mijadala mikubwa mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla, Recho Dangwa amejitokeza hadharani na kuomba radhi kufuatia kauli zake za awali zilizokuwa zikimkosoa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali kwa ujumla kupitia mitandao ya kijamii. 

Hatua hiyo imeibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, huku wengi wakijadili kuhusu mipaka ya uhuru wa kujieleza mtandaoni. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post