Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa tangazo ambalo linaweza kubadilisha jinsi wananchi wanavyoshirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa tangazo ambalo linaweza kubadilisha jinsi wananchi wanavyoshirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
Amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini.
Kauli hii imetolewa wakati nchi ikiendelea kuimarisha misingi ya amani na utulivu ambao umekuwa utambulisho wa Tanzania kwa muda mrefu.
Waziri Katambi alisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya wananchi na vyombo vya ulinzi na usalama katika kulinda amani, usalama na utulivu wa nchi.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment