SIMANZI: Mmiliki wa Baa Afichua Alichokijua Kuhusu Kifo cha Mwanamke Aliyetupwa Kwenye Chemba


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linaendelea na uchunguzi wa tukio la kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Husna Shabani, ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya chemba ya kuhifadhia bidhaa katika moja ya baa zilizopo eneo la Kona ya Mbauda jijini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizotolewa na vyombo vya usalama, mwili wa marehemu ulionekana katika mazingira yanayozua maswali mengi, jambo lililosababisha Jeshi la Polisi kuanzisha uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo cha kifo hicho na mazingira yaliyolizunguka tukio hilo.

Taarifa zinaeleza kuwa kabla ya mwili huo kupatikana, marehemu alikuwa ameonekana katika eneo hilo, huku uchunguzi wa awali ukidai kuwa tukio linaweza kuwa lilianzia katika chumba cha mapumziko kilichopo ndani ya baa hiyo. Hata hivyo, Polisi wameeleza kuwa bado wanakusanya ushahidi na taarifa mbalimbali ili kubaini ukweli wa kilichotokea.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post