Siri Yafichuka Ushahidi Uliokutwa Chumbani Kwa Dereva Wa Heche Bàada Ya Kifo Chake Polisi Waeleza

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma limeanza uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha dereva wa Mbunge Heche kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni maarufu kwa jina la Mtahamba. 

Taarifa za awali zinaeleza kuwa majira ya saa 4 asubuhi, polisi walipokea taarifa kutoka kwa Mulimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na katibu wa Mheshimiwa John H, kwamba walikwenda kumwamsha mwenzao ambaye hakujibu simu kwa muda mrefu.

Baada ya kufika katika nyumba hiyo, askari polisi waliambatana na Zabron pamoja na wafanyakazi wa nyumba ya kulala wageni na kuonyeshwa chumba alichokuwa amelala dereva huyo. 

Ndani ya chumba hicho, polisi walikuta ushahidi mbalimbali unaohusiana na mazingira ya kifo chake. Ingawa maelezo kamili ya ushahidi huo bado hayajatolewa kwa umma, taarifa zinaeleza kuwa polisi walifunga eneo hilo na kuanza taratibu za uchunguzi wa kitaalamu.

Mashuhuda walisema kuwa dereva huyo, aliyefahamika kwa jina la Suz, alionekana mara ya mwisho usiku wa Juni 30 akiwa na wenzake kabla ya kuelekea kulala. 

Polisi wamesisitiza kuwa uchunguzi huu utahusisha wataalamu wa uchunguzi wa vinasaba na madaktari wa uchunguzi wa maiti ili kubaini chanzo halisi cha kifo.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post