Iran imepokea mamia ya makombora ya kujilinda kwa anga ya MANPADS kutoka kwa washirika wake wakuu, Urusi na China.
Hatua hii inajiri wakati nchi hiyo ikijitahidi kujenga upya mfumo wake wa ulinzi uliodhoofishwa na mashambulizi ya miezi kadhaa kutoka kwa vikosi vya Marekani na Israel.
Silaha hizo zinazobebwa begani, zikiwemo mifumo ya kisasa ya QW-12 na FN-16 kutoka China pamoja na 9K333 Verba kutoka Urusi, zinatajwa kuwa "mitego ya siri" angani inayoweza kutishia pakubwa ndege za kivita na ndege zisizo na rubani (drones) za maadui wa Tehran.
Ripoti zinasema kuwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) tayari limeshasambaza shehena hizo kwenye maeneo ya kimkakati kama vile mji mkuu wa Tehran na karibu na Lango la Hormuz ili kulinda miundombinu yake muhimu. SOMA ZAIDI.

Post a Comment