Familia na watoto ni baraka kubwa sana maishani, lakini katika jamii zetu, tamaa ya kupata mtoto wa kiume wa kuendeleza ukoo na kurithi mali za familia ni jambo linalowagusa wazazi wengi. Mume wangu na mimi tulibarikiwa kupata mabinti wanne wazuri na wenye afya tele.
Pamoja na kuwapenda sana binti zetu, mume wangu alianza kuonyesha msongo mkubwa wa mawazo na wasiwasi kuhusu hatima ya jina la familia na biashara zetu kubwa ambazo ziliitaji mrithi wa kiume wa kuzisimamia.
Maneno na shinikizo kutoka kwa ndugu wa mume wangu vilianza kuongezeka kila siku. Walianza kumshawishi achukue mke mwingine au atafute mwanamke wa nje atakayemzalia mtoto wa kiume.
Nilibaki nikihangaika kwenye maombi na kutembelea hospitali mbalimbali kuona kama kuna ushauri au tiba ya kisayansi inayoweza kusaidia, lakini kila mimba iliyofuata ilipopatikana, majibu na matokeo yalikuwa ni yale yale mtoto wa kike.
Ndoa yangu ilianza kuingia kwenye baridi kali, na hofu ya kupoteza mume wangu na nyumba yangu ikawa inaniandama kila siku. SOMA ZAIDI.
Post a Comment