Mashambulizi yaliyodaiwa kufanywa na Iran dhidi ya kambi mbili za kijeshi za Marekani nchini Jordan yameibua hofu kubwa ya kuongezeka kwa mzozo wa kijeshi katika Mashariki ya Kati.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani vinavyomnukuu maafisa wa serikali ya Washington, tukio hilo lilitokea wiki hii na kusababisha majeruhi miongoni mwa wanajeshi wa Marekani walioko katika vituo vya kijeshi nchini Jordan.
Hata hivyo, idadi kamili ya waliojeruhiwa haijabainishwa mara moja na maafisa wa Marekani hawakutoa maelezo ya kina kuhusu kiwango cha uharibifu uliosababishwa katika kambi hizo.
Hata hivyo, idadi kamili ya waliojeruhiwa haijabainishwa mara moja na maafisa wa Marekani hawakutoa maelezo ya kina kuhusu kiwango cha uharibifu uliosababishwa katika kambi hizo.
Mashambulizi haya yanatajwa kuwa sehemu ya operesheni za kulipiza kisasi za Iran kufuatia mashambulizi ya Marekani yaliyolenga maeneo mbalimbali nchini Iran. SOMA ZAIDI.
Post a Comment