Haijawa kama mazoea yaliyozoeleka kwamba kama Marekani ataishambulia Iran basi moja kwa moja Iran hujibu mashambulizi kwa kushambulia nchi washirika wa Marekani kwenye maeneo ya ghuba na maeneo mengine mashariki ya kati.
Lakini kwa kipindi kirefu imekuwa tofauti kabisa, Iran imegoma kuishambulia Israel hata kama Marekani atashambulia Iran bado Iran itachagua maeneo ya kujibu Marekani kwa washirika wake kama Bahrain, Kuwait, Jordan, Qatar na Oman.
Marekani jana ilifanya mashambulizi makubwa nchini Iran lakini Iran ilichagua kushambulia Jordan na Kuwait kama majobu kwa Marekani ijapokuwa baadhi ya ndege za Marekani ziliruka kuelekea Iran kutoka nchini Israel. SOMA ZAIDI.

Post a Comment