Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Tarehe 05 Julai 2026, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameshiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma kilichofanyika katika ofisi za chama hicho mkoani humo.
Kikao hicho kimehusisha viongozi mbalimbali wa CCM ngazi ya mkoa, ambao wamekutana kujadili masuala muhimu yanayohusu uimarishaji wa chama, utekelezaji wa majukumu ya kisiasa, pamoja na mikakati ya kuendeleza shughuli za kiutawala na kijamii katika Mkoa wa Dodoma.

Mjadala wa kikao hicho umejikita katika kuimarisha mshikamano wa ndani ya chama, kuboresha utendaji wa viongozi wa ngazi za chini, na kuhakikisha kuwa CCM inaendelea kuwa na muunganiko imara na wananchi katika ngazi ya mashina.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment