Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Vwawa mkoani Songwe, Mchungaji Amoni Mwashitete, amesema chama hicho ndicho kilichobeba mpango wa mabadiliko na maendeleo ya kweli kwa Watanzania, akidai kuwa CCM imeshindwa kuleta mabadiliko ya msingi licha ya kuongoza taifa kwa zaidi ya miaka sitini.
Mwashitete ametoa kauli hiyo akizungumza na wananchi katika mkutano wa kisiasa, ambapo alieleza kuwa CHADEMA ina dhamira ya kuleta mageuzi ya kiutawala na kijamii yatakayosaidia kuboresha maisha ya wananchi katika maeneo mbalimbali nchini.
Kwa mujibu wake, hali ya maendeleo katika baadhi ya maeneo bado haijakidhi matarajio ya wananchi, jambo analodai linahitaji mabadiliko ya mfumo wa uongozi ili kuleta matokeo tofauti.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment