CHADEMA Yasanuka Mapema: Yaushtukia Mtego Huu

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mwanasiasa Peter Msigwa ametoa wito kwa viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea kusimamia ajenda ambazo chama hicho kinaona ni muhimu kwa mustakabali wa taifa, akitaja masuala ya mafuta, Katiba Mpya na kampeni ya #FreeTunduLissu.

Kupitia ujumbe wake, Msigwa amesema kuna haja ya viongozi wa chama kuendelea kuwaongoza wanachama katika kile alichokiita “mapambano ya msingi”, akieleza kuwa mjadala kuhusu masuala hayo haupaswi kupoteza mwelekeo kutokana na mijadala mingine inayoweza kuibuka katika mazingira ya kisiasa.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post