Dkt. Nchimbi Aonekana Msaliti CCM Sababu Kubwa Yatajwa

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Kauli zinazohusishwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuhusu umuhimu wa kuheshimu vyama vya upinzani zimeendelea kuzua mjadala katika mijadala ya kisiasa na kwenye mitandao ya kijamii. 

Mwanasheria na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Mayalla ameeleza kuwa baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa wakimtazama Dkt. Nchimbi kama mtu ambaye mara nyingi amekuwa akitetea misingi ya kuheshimu wapinzani, jambo ambalo kwa mtazamo wa baadhi yao halijawafurahisha.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post