Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Maandamano ya amani ni haki ya kikatiba inayolindwa na sheria. Haki hiyo haikutungwa ili iwe kifuniko cha kupanga machafuko, kuchochea vurugu, kuharibu mali za wananchi au kuhatarisha usalama wa taifa.
Ikiwa kuna yeyote anayepanga kutumia jina la kudai haki kama silaha ya kusambaza hofu, kuvuruga utulivu au kuingiza nchi kwenye machafuko, afahamu wazi kuwa hatua hiyo ni ya kulaaniwa na haiwezi kukubalika katika jamii inayoheshimu sheria.
Tunamwonya vikali John Heche na mtu mwingine yeyote mwenye mawazo ya kugeuza maandamano kuwa uwanja wa vurugu: Acheni mara moja mipango hiyo. Wananchi hawahitaji machafuko; wanahitaji amani, maendeleo na utulivu.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment