Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Katika kipindi ambacho Tanzania ilikuwa ikikabiliwa na taharuki kuhusu wito wa maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika tarehe 7 Julai 2026, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu namna viongozi wa Serikali walivyoshughulikia hali hiyo na kuimarisha utulivu nchini.
Mchambuzi wa masuala ya uongozi na utawala, Omary Kishimba, ametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusimamia mifumo ya uongozi na amani ya nchi, huku akimtaja Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kama mmoja wa viongozi waliokuwa na mchango mkubwa katika kipindi hicho.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment