Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Wakili wa kujitegemea, Peter Kibatala, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuchunguza watu aliowataja kwa madai ya kutoa kauli au kufanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.

Amesema utekelezaji wa sheria unapaswa kufanyika kwa usawa bila kujali hadhi, nafasi au itikadi ya mtu anayehusika.
Kauli hiyo imekuja kufuatia mjadala unaoendelea kuhusu hatua za serikali dhidi ya watu wanaodaiwa kutumia majukwaa mbalimbali kutoa kauli zinazoweza kuhatarisha usalama wa taifa.

Kibatala amesema iwapo mamlaka zinachukua hatua kwa baadhi ya watu, basi ni muhimu kufanya hivyo kwa kila anayehusishwa na tuhuma zinazofanana.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment