Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Kikosi kipya kinachojulikana kwa jina la “Chui Weusi” kimetambulishwa rasmi na Sheikh Saidi Mwaipopo kwa ajili ya kuwaadhibiti watu wote watakaoleta vurugu na kuvuruga amani ya nchi tarehe 07 Julai.
Kikosi kipya kinachojulikana kwa jina la “Chui Weusi” kimetambulishwa rasmi na Sheikh Saidi Mwaipopo kwa ajili ya kuwaadhibiti watu wote watakaoleta vurugu na kuvuruga amani ya nchi tarehe 07 Julai.
Tamko hilo limetolewa leo Julai 4, 2026 na limezua mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu mikakati ya kudhibiti vitendo vya kihalifu vinavyopangwa kutokea siku hiyo.
Kwa mujibu wa Sheikh Saidi Mwaipopo, Chui Weusi ni kikosi maalum kilichoundwa kukabiliana na makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya vurugu, uharibifu wa mali na kuvuruga utulivu wa umma.
Kwa mujibu wa Sheikh Saidi Mwaipopo, Chui Weusi ni kikosi maalum kilichoundwa kukabiliana na makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya vurugu, uharibifu wa mali na kuvuruga utulivu wa umma.
Amefafanua kuwa kikosi hicho kimepewa jukumu la kushirikiana kwa karibu na vyombo vingine vya usalama ili kuhakikisha hakuna mtanzania anayejeruhiwa au kupata hasara kutokana na ghasia.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment