Taarifa Nzito Kutoka CMAG Kuhusu Kesi Ya Lissu

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Serikali ya Tanzania imepewa siku 30 na Kikundi cha Mawaziri cha Jumuiya ya Madola (CMAG) kutatua suala la kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, kupitia njia za kisiasa na kisheria, na kuwaachia huru watu wengine wanaoshikiliwa kwa sababu ya kutumia haki yao ya kujieleza kwa amani.

Maelekezo hayo yalitolewa Julai 10, 2026 katika mkutano wa pamoja wa dharura wa CMAG, ambao pia ulitoa tamko likitaka kufanyika kwa jukwaa la mashauriano linaloshirikisha vyama vyote vya siasa nchini Tanzania ndani ya siku 90, ili kujadili mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, masuala ya mahabusu na uwajibikaji, huku ndani ya siku 60 ikitaka kurejeshwa kwa uhuru kamili wa matumizi ya mitandao ya kijamii.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post