CMAG Yatoa Siku 30 kwa Serikali ya Tanzania kuhusu Kesi ya Tundu Lissu

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Jumuiya ya Madola kupitia Kundi la Mawaziri la Jumuiya ya Madola (CMAG) imetoa tamko linaloihusu Tanzania, ikiitaka serikali kushughulikia baadhi ya masuala yaliyobainishwa ndani ya siku 30, likiwemo suala la mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Tamko hilo limetolewa kufuatia mkutano wa dharura wa CMAG uliofanyika Julai 10, 2026.

Kwa mujibu wa tamko hilo, CMAG imeeleza kuwa inapendekeza suala la Tundu Lissu kushughulikiwa kupitia taratibu za kisiasa na kisheria. 

Aidha, kundi hilo limehimiza kuachiwa kwa watu wengine wanaoshikiliwa kuhusiana na matumizi ya haki za msingi kwa njia za amani, kwa mujibu wa maelezo yake.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.



Post a Comment

Previous Post Next Post