Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Serikali ya Tanzania imesema imeanza kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya watu wanaodaiwa kutoa fedha na msaada kwa vijana ili kushiriki katika maandamano ambayo mamlaka zinaeleza yalikuwa na lengo la kusababisha vurugu na kuvuruga amani nchini.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ameeleza kuwa uchunguzi wa vyombo vya dola umebaini kuwepo kwa watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mipango ya kufadhili shughuli zilizokuwa na nia ya kuchochea machafuko.

Kwa mujibu wa kauli yake, hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote watakaobainika kuhusika katika vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa taifa.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment