Mwanamke Aliyepotea Siku Kadhaa Mwili Wake Wapatikana Ukiwa Umefukiwa Huku Ukiwa Umetenganishwa


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mwanamke Aliyepotea Siku Kadhaa Mwili Wake Wapatikana Ukiwa Umefukiwa Huku Ukiwa Umetenganishwa,Mpenzi Wake Ahusika!

Msiba wa kutisha umeikumba familia ya Joy Kanini, mwanamke kutoka Kenya, baada ya mwili wake kupatikana umetenganishwa na sehemu zake kufukiwa katika maeneo tofauti, siku kadhaa baada ya kutoweka nyumbani. Polisi wanasema mpenzi wake, John Mureethi, anahusika na mauaji hayo ya kikatili.

Kwa mujibu wa taarifa, Joy Kanini na John Mureethi walikuwa wawili wa mapenzi na waliishi pamoja. Hata hivyo, uhusiano wao ulikuwa na migogoro ya mara kwa mara. 

Inadaiwa kuwa Joy alikuwa amechoshwa na ugomvi unaoendelea na aliamua kutaka waachane. John alikuwa akimshawishi kila mara wasivunje mahusiano hayo ili waendelee kuishi pamoja.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post