Mwanamke Apatikana Amefariki Ndani ya Mfuko wa Plastiki Polisi Waanza Uchunguzi


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Cape Town, Afrika Kusini – Huzuni na taharuki vimetanda katika eneo la Kewtown, nyuma ya Uwanja wa Athlone, baada ya mwili wa mwanamke mwenye umri wa miaka 28 kupatikana ukiwa umefungwa ndani ya mfuko wa plastiki uliokuwa umetupwa kandokando ya barabara. Tukio hilo limewaacha wakazi wa eneo hilo wakiwa na mshtuko mkubwa huku polisi wakianzisha uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha kifo hicho na kuwawajibisha waliohusika.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, mwili huo uligunduliwa mapema alfajiri na watu waliokuwa wakikusanya taka katika eneo hilo. Mashuhuda wamesema waliona mfuko mkubwa wa plastiki uliokuwa umewekwa karibu na sehemu ya kutupia taka na kudhani ulikuwa umejaa uchafu wa kawaida.

Wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kukusanya taka zinazoweza kurejelewa, waliuchukua mfuko huo kwa lengo la kuutenganisha na taka nyingine. Hata hivyo, walipoufungua walikumbana na tukio la kutisha baada ya kubaini kuwa ndani yake kulikuwa na mwili wa mwanamke aliyekuwa tayari amefariki dunia.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post