TAHARUKI NJOMBE ! Mwanamke Anaswa Chooni Akiwa Amefunga Mikono Mithili ya Kishirikina


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mkazi wa Kijiji cha Kisilo katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, Se Mligo amezua taharuki baada ya kukutwa katika choo cha Wafanyabiashara wa Mtaa wa Idundilanga akiwa amefunga mikono, hali iliyowafanya baadhi ya Wananchi kumhisi kuwa ni mshirikina.

Akizungumzia tukio hilo ambalo limetokea leo Juni 22, 2026 Mtendaji wa Mtaa wa Idundilanga, Martha Mgaya amesema kwa mujibu wa Mwanamke huyo aliwasili Mjini Njombe akiwa na wenzake wawili kwa ajili ya matembezi, lakini wenzake waliondoka na kumuacha akiwa anafanya usafi katika eneo la choo hicho ambacho hausiki nacho.

Baadhi ya mashuhuda, akiwemo Rose Mayemba na Patrick Mtweve, wamesema walifika eneo hilo baada ya kupata taarifa kuhusu Mwanamke huyo na walipomuhoji kuhusu uwepo wake, alidai kuwa alikuwa katika shughuli zake za safari.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post