Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa kauli kali kuhusu Iran baada ya ripoti kuibuka zikidai kuwa taifa hilo linapanga njama za kumuua. Katika mahojiano na gazeti la New York Post, Trump alisema kuwa ameweka maelekezo mahsusi ya kuchukuliwa hatua kali dhidi ya Iran endapo njama hizo zitafanikiwa.

Kauli hiyo imeibua mjadala mpana katika duru za kidiplomasia, ikionyesha kuendelea kwa mvutano wa muda mrefu kati ya Washington na Tehran. SOMA ZAIDI.
Post a Comment