Trump Hali Tete: Irani Yafanya Yake Tena

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mvutano wa kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi umeingia katika hatua mpya baada ya Iran kuanzisha mashambulizi dhidi ya Bahrain, taifa ambalo lina jeshi na miundombinu muhimu ya kijeshi ya Marekani. 

Hatua hiyo imekuja kufuatia mashambulizi ya Marekani yaliyolenga maeneo mbalimbali ndani ya Iran, huku ripoti zikieleza kuwa operesheni hizo zililenga kupunguza uwezo wa kijeshi wa Iran katika ukanda huo. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post