Massie Aonya: Marekani Ikimbie Vita na Iran Kabla Haijazidiwa Nguvu

Mbunge wa Marekani Thomas Massie ameibua mjadala mpana baada ya kutoa wito kwa viongozi wa Washington kujiondoa mara moja katika vita dhidi ya Iran, akisisitiza kuwa kuendelea kushiriki katika mzozo huo ni hatari kwa mustakabali wa taifa.

Katika ujumbe wake, Massie alionya kuwa Marekani inakabiliwa na changamoto kubwa za kimkakati, ikiwemo kumalizika kwa hifadhi za mafuta, kupungua kwa rasilimali za ulinzi wa makombora kikanda, na mabadiliko ya kisiasa yanayoweza kuathiri uthabiti wa taifa hilo. 

Alisema kuwa ni muhimu kuondoka sasa kabla Tehran haijapata nguvu na ushawishi mkubwa zaidi katika Mashariki ya Kati. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post