Trump Atakiwa Kutoa Uamuzi Kuhusu Mashambulizi ya Iran


Mvutano kati ya Marekani, Israel na Iran umeingia katika hatua mpya baada ya taarifa kuripoti kuwa kuna maandalizi ya operesheni inayolenga miundombinu ya nishati ya Iran.

Kwa mujibu wa taarifa ya chombo cha habari cha Marekani, CBS News, Marekani na Israel zimekuwa zikifanya maandalizi ya hatua hiyo huku uwezekano wa utekelezaji wake ukitajwa kuwa unaweza kutokea mapema wiki ijayo.

Hata hivyo, taarifa hiyo imeeleza kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, bado hajatoa uamuzi wa mwisho wa kuidhinisha operesheni hiyo. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post