WASHINGTON: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema taifa lake litachukua hatua kali kujibu shambulio la makombora lililodaiwa kufanywa na Iran dhidi ya vikosi vya Marekani vilivyoko nchini Jordan, akisisitiza kuwa Washington haitasita kutumia nguvu kulinda wanajeshi wake na maslahi yake katika Mashariki ya Kati.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha habari cha Fox News, Trump alitoa kauli kali dhidi ya Iran, akisema Marekani itajibu kwa nguvu mashambulizi hayo.
Tutawapiga vikali. Watapata kipigo alisema Trump, akinukuliwa na Fox News. SOMA ZAIDI.
Post a Comment