Kifo cha Mwigulu Chazua Sintofahamu kwa Wananchi, Polisi Wavunja Ukimya

Tukio la sintofahamu limeibua mjadala mkubwa wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi, baada ya operesheni ya Jeshi la Polisi katika hifadhi ya msitu wa Namitonga kusababisha vurugu kati ya askari na wafugaji. 

Katika operesheni hiyo, polisi walifanikiwa kukamata kundi kubwa la ng’ombe waliokuwa wakichungwa ndani ya eneo la hifadhi kinyume cha sheria.

Hata hivyo, hali ilibadilika na kuwa ya taharuki baada ya baadhi ya wafugaji kupinga hatua hiyo, hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi pamoja na risasi. 

Tukio hilo lilisababisha kifo cha kijana mmoja mfugaji, Mwigulu Nkinga Mahembo, mwenye umri wa miaka 22.S.O.M.A Z.A.I.D.I.

Post a Comment

Previous Post Next Post