Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Ally Rajabu (25), mkazi wa kata ya Maji ya Chai, wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia kufuatia tukio linalodaiwa kuhusisha kipigo kikali alichopewa baada ya kutuhumiwa kuiba mapipa matatu ya chuma chakavu yaliyokuwa yakitumiwa katika shughuli za ujenzi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa eneo hilo, tukio hilo lilitokea katika nyakati za usiku wa kuamkia Juni 25, 2026, ambapo kijana huyo alidaiwa kukutwa akiwa na pipa moja kati ya yale yaliyokuwa yametoweka, huku akilielekea eneo alikokuwa amehifadhi mengine mawili kwa lengo la kuyakusanya na baadaye kuyauza kama vyuma chakavu.
Inadaiwa kuwa fundi ujenzi anayemiliki mapipa hayo, baada ya kugundua upotevu wa vifaa vyake, aliungana na mtu mwingine na kumkabili kijana huyo kabla ya kumshambulia kwa kipigo kilichosababisha majeraha makubwa. Baadaye, Ally aliripotiwa kuanguka na kupoteza maisha kutokana na majeraha hayo.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment