Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini wamepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kufichuliwa kwa tukio la mauaji ya Ramadhan Jafari (47), mkazi wa Mbezi Luguruni, ambaye kwa siku kadhaa alikuwa akiripotiwa kupotea.

Tukio hilo limeibua hisia mbalimbali kutokana na mazingira yaliyoelezwa na Jeshi la Polisi, yakionyesha kuwa marehemu aliuawa na kuzikwa ndani ya nyumba yake mwenyewe.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, uchunguzi wa kina uliofanywa na Jeshi la Polisi ulibaini kuwa Ramadhan Jafari hakuwa amepotea kama ilivyodhaniwa awali.

Badala yake, aliuawa na kufukiwa ndani ya chumba chake nyumbani kwake. Taarifa hiyo imewaacha wengi wakishangazwa na kusikitishwa, hasa kutokana na ukweli kwamba mtuhumiwa mkuu wa tukio hilo ni mtoto wa marehemu mwenyewe, Juma Ramadhan mwenye umri wa miaka 21.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment